Sell on Hekaya Inscribers : Vendor Login
alt tags
Item added to your shopping cart alt tags View Cart
Home / Kenyan Books / DAU LAZAMA

DAU LAZAMA

DAU LAZAMA

Kshs 450/= Unique ID: QYXW56501 Author: Hekaya Inscribers Categories: Kenyan Books alt tags Add to Cart Buy Now

DAU LAZAMA
Na Kulei G. Serem

Dau Lazama inatoa picha halisi ya mambo yanayoendelea katika jamii hususan katika bara la Afrika. Walalahoi katika taifa la Ngomeni wanapitia madhila yasiyo na kifani kutoka kwa walio na mamlaka ya dola. Ni bayana kwamba uongozi katika taifa hili ni wa kiimla.

Tembo anatumia mbinu kali kuwakaandamiza wapinzani wa sera zake. Vilevile pana asasi muhimu za jamii kama vile dini, zinazofaa kuyanyosha maadili katika jamii ila sivyo katika taifa la Ngomeni: Mchungaji Kombo anauunga mkono ukoloni mamboleo na kushirikiana nao.

Si hayo tu, siri kubwa inayozingira maisha ya kijana Bahati kuihusu usuli na hatima yake ya maisha inateka bakunja nadhari ya msomaji.

Kshs 450/= Kshs 890/= alt tags Add to Cart
Unique ID: QYXW56501 Author: Hekaya Inscribers Categories: Kenyan Books Condition:

DAU LAZAMA
Na Kulei G. Serem

Dau Lazama inatoa picha halisi ya mambo yanayoendelea katika jamii hususan katika bara la Afrika. Walalahoi katika taifa la Ngomeni wanapitia madhila yasiyo na kifani kutoka kwa walio na mamlaka ya dola. Ni bayana kwamba uongozi katika taifa hili ni wa kiimla.

Tembo anatumia mbinu kali kuwakaandamiza wapinzani wa sera zake. Vilevile pana asasi muhimu za jamii kama vile dini, zinazofaa kuyanyosha maadili katika jamii ila sivyo katika taifa la Ngomeni: Mchungaji Kombo anauunga mkono ukoloni mamboleo na kushirikiana nao.

Si hayo tu, siri kubwa inayozingira maisha ya kijana Bahati kuihusu usuli na hatima yake ya maisha inateka bakunja nadhari ya msomaji.

Flash Sale Deal Of The Day

-
Close